1. ‘Serikali ya Wananchi Wa Uchina imelauma sana hukumuya vifungo vya miaka kumi kila mmoja vilivyotolewa na Serikaliya Brazilkwa watu saba ambao ni raia wa China.’ Uhuru, 92 12 1964.
2. ‘Lakini narudia tena kusema kwamba mafanikio yote haya yametokana na ushirikiano mwema baina ya wananchi na Serikali yao’. Uhuru (Dar es Salaam), 6 01 1965.
3. Taarifa ya Tume ya Rais juu ya Kuanzishwa kwa Serikali ya Kidimokrasi ya Chama Kimoja cha Siasa (Dar es Salaam, 1965), p. 15.